- Zifahamu Nchi 10 za Afrika Zenye Internet ya Kasi zaidi - Teknotaarifa | Mtandao wa Taarifa za Teknolojia -
-

UTAFITI

Zifahamu Nchi 10 za Afrika Zenye Internet ya Kasi zaidi

on

Kwa mujibu wa tovuti ya Quartz , kwa sasa Madagascar inaongoza kuwa na kasi kubwa ya internet na hadi kupita nchi kama za Ulaya, Ufaransa na hata Canada. Ikiwa na kasi ya internet ya waya (broadband) ya hadi MB 24.9 kwa sekunde, Madagascar inashikilia nafasi ya 22 dunia huku kwa hapa Afrika ikiwa inashikilia nafasi ya kwanza na kufuatiwa na nchi ya Kenya ambayo mwaka uliopita ilikuwa ikiongoza. Hata hivyo kwa mujibu wa Atlas , kwa sasa hizi ndio nchi za Afrika zinazoongoza kwa kasi ya Internet.

Zifuatazo ni Nchi za Afrika Zenye Kasi ya Internet Mwaka (2018)

1. Madagascar – MB 24.9 kwa Sekunde

2. Kenya – MB 10.1 kwa Sekunde

3. Afrika Kusini – MB 6.4 kwa Sekunde

4. Cape Verde – MB 3.2 kwa Sekunde

5. Ghana – MB 2.9 kwa Sekunde

6. Zimbabwe – MB 2.9 kwa Sekunde

7. Rwanda – MB 2.6 kwa Sekunde

8. Namibia – MB 2.6 kwa Sekunde

9. Burundi – MB 2.6 kwa Sekunde

10. Uganda – MB 2.4 kwa Sekunde

Kwa mujibu wa tovuti ya Quartz, Madagascar inaongoza kwa kasi ya internet Afrika kutokana na mkongo wa East African Submarine Cable System (EASSy) ambao pia unapita Tanzania wenye urefu wa km 10,000 ambao unatoka Sudan hadi Afrika ya Kusini

TOA MAONI YAKO HAPA

comments

About Yassir Oyo

Yassir Oyo

Ni Mwandishii wa Taarifa za Teknolojia kwa lugha ya kiswahili katika Mtandao wa Taarifa za Teknolojia - TeknoTaarifa. Naishi Nairobi Kenya, Napenda Teknolojia, Naipenda lugha ya kiswahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!