- Ifahamu Teknolojia ya Jengo refu zaidi duniani linalojengwa kwa mbao - Teknotaarifa | Mtandao wa Taarifa za Teknolojia -
-

UBUNIFU

Ifahamu Teknolojia ya Jengo refu zaidi duniani linalojengwa kwa mbao

on

Kampuni moja nchini Japan inajenga jengo la mbao refu zaidi duniani kuadhimisha miaka yake ya 350 ifikapo mwaka 2041.

Sumitomo Forestry ilisema kuwa asilimia 10 ya jengo hilo la ghorofa 70 la W350, inajengwa kwa chuma huku asilimia iliyosalia inakuwa ya miti ya asilia yenye uwezo wa kujenga jumla ya nyumba 8,000. Gharama ya mradi huo itakuwa yeni bilioni 600.

W350 Project by Sumitomo Forestry, timber architecture, W350 Tokyo, W350 skyscraper, W350 Japan, Japan timber architecture, Japanese timber high-rise, tallest timber building, timber and steel skyscraper,

W350 Project by Sumitomo Forestry, timber architecture, W350 Tokyo, W350 skyscraper, W350 Japan, Japan timber architecture, Japanese timber high-rise, tallest timber building, timber and steel skyscraper,

Lakini kampuni ya Sumitomo imesema kuwa inatarajia gharama hiyo kushuka kutokana na ugunduzi mpya wa teknolojia utakaofuatia. Jengo la wanafunzi la urefu wa mita 53 mjini Vancouver kwa sasa ndilo jengo refu zaidi kujengwa kwa mbao duniani. W350 litakuwa na maofisi, maduka, mahoteli na makao ya watu.

W350 Project by Sumitomo Forestry 1 1020x610 - Ifahamu Teknolojia ya Jengo refu zaidi duniani linalojengwa kwa mbao

 

TOA MAONI YAKO HAPA

comments

About Abdallah Magana

Abdallah Magana

Ni Mhariri mkuu, Mwanzilishi na mmiliki wa Tovuti ya TeknoTaarifa. Naishi Dar es Salaam Tanzania. Lengo langu ni kukupasha Taarifa na Kukuelimisha kuhusu sayansi na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!