- Je, ni mkono upi unafaa kushikilia simu ya Mkononi? - Teknotaarifa | Mtandao wa Taarifa za Teknolojia -
-

SIMU

Je, ni mkono upi unafaa kushikilia simu ya Mkononi?

on

Utafiti umebaini kwamba mkono unaathiri jinsi simu yako inapokea mawimbi.

Utafiti huo unasema simu tofauti hufanya vizuri ikiwa imeshikiliwa kwa kutumia mkono mmoja kuliko mkono mwingine. Prof Gert Pedersen, kutoka chuo kikuu cha Aalborg anasema kwamba antena (kifaa kinachopokea mawimbi) za simu huwa zimewekwa mahali ambapo binadam hushikilia simu yake, na hivyo kuathiri jinsi simu inapokea mawimbi.

Mkono wa kulia

Miongoni mwa simu zinazofanya vyema zikiwa zimishikiliwa kwa mkono wa kulia:

  • iPhone 6S Plus
  • LG G5
  • HTC 10

Mkono wa kushoto.

Miongoni mwa simu zinazofanya vyema zikiwa zimishikiliwa kwa mkono wa Kushoto:

  • Samsang Galaxy s7 Edge
  • Microsoft Lumia 650
  • Huawei P9

Prof Gert Pedersen anasema ukitumia simu yako bila kuishika kunaimarisha upatikanaji wa mawimbi ikilinganishwa na wakati ambapo umeishikilia.

TOA MAONI YAKO HAPA

comments

About Abdallah Magana

Abdallah Magana

Ni Mhariri mkuu, Mwanzilishi na mmiliki wa Tovuti ya TeknoTaarifa. Naishi Dar es Salaam Tanzania. Lengo langu ni kukupasha Taarifa na Kukuelimisha kuhusu sayansi na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!