- Ifahamu betri ya kwanza kutumika duniani - Teknotaarifa | Mtandao wa Taarifa za Teknolojia -
-

NISHATI

Ifahamu betri ya kwanza kutumika duniani

on

Mnamo Machi 20 mwaka 1800, mgunduzi wa maswala ya teknolojia raia wa Italia aliyejulikana kwa jina la Alessandro Volta alitengeneza betri ya kwanza kutumika duniani. Kwa sasa kampuni hii ya kutengeneza betri mbalimbali ina miaka 217 toka kuanzishwa kwake.

Image result for the first battery in the word Alessandro Volta

Wakati anazindua beetri hii ya kwanza, Volta aliipa jina la “kifaa cha kubuni cha kutoa umeme” alipoamua kupingana na dhana iliyokuwa kipindi hicho kwamba ilikuwa ni lazima tishu ya mnyama itumike ili kuweza kutengeneza umeme. Badala yake, alitumia vipande vya chuma na nguo chakavu zilizoloweshwa kwenye maji. Hivi vilitosha kupitisha umeme na ndio ukawa mwanzo wa betri ya kwanza duniani.

TOA MAONI YAKO HAPA

comments

About Yassir Oyo

Yassir Oyo

Ni Mwandishii wa Taarifa za Teknolojia kwa lugha ya kiswahili katika Mtandao wa Taarifa za Teknolojia - TeknoTaarifa. Naishi Nairobi Kenya, Napenda Teknolojia, Naipenda lugha ya kiswahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!